We are Rising Again

Assalam Aleykum
Ndugu zangu kuna habari njema ya kuanzishwa kwa kampeni maalum ya kumsaidia ndugu yetu Abdullah Ahmeid juma pichani hapo. Ambae amepigiwa na kunyang’anywa mali zake na askari wa vikosi vya SMZ, wakati akiwa kwenye harakati za kufanya biashara zake.
Ndugu Abdullah anamajonzi ya kujeruhiwa vibaya, aidha kaachwa na majonzi mara mbili kwa kuibiwa mali zake ikiwemo fedha taslimu. SHIME kwetu kwa kila ambae ALLAH atamuwezesha kumchangia tujitahidini kufanya hivyo kutoa ni moyo wala sio utajiri. Tunaweza kumchangia kupitia nambari zake za simu ya mkononi na fedha kumfika muhusika moja kwa moja, pia Tunaweza kuchangia kwa kufata link hii hapa chini 👇👇 popote tulipo duniani.
https://www.gofundme.com/wearerisingagain
ama unaweza kuchangia kupitia paypal ya mzalendo.net
Kwa wale watakuwa wanataka kumchangia kwa njia ya Tigo: 0712040060
Jina ni ABDALLA AHMED.
Vyenginevyo unaweza kutumia link hii ya gofund ama mzalendo paypal na reference ni Abdallah Ahmed kwa mzalendo Paypal